News
HARAMBEE Stars ya Kenya, imeonyesha kuitaka robo fainali ya michuano ya CHAN 2024 baada ya kulazimisha sare ya bao 1-1 dhidi ...
JUZI Jumatano ilikuwa siku ya furaha sana hapa kijiweni kwetu baada ya kusikia na kuona taarifa za nahodha wa Taifa Stars, ...
HIZI timu za daraja la kati kiuchumi mara nyingi lengo lao kuu huwa ni kubakia Ligi Kuu na huwa hazitaki sana makuu kama zile ...
INTER Milan imefikiria kumsajili winga wa Manchester United na timu ya taifa ya England, Jadon Sancho, mwenye umri wa miaka ...
KATIKA mechi iliyojaa tahadhari na vita ya kimbinu, Taifa Stars imeendelea kung’ara kwenye Michuano ya Mataifa ya Afrika kwa ...
STRAIKA wa Newcastle na timu ya taifa ya Sweden, Alexander Isak amewekwa kando na kikosi cha kwanza na kuamriwa afanye ...
JUMAMOSI iliyopita, Kocha Hemed Suleiman 'Morocco' aliiwezesha timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kuibuka na ushindi wa ...
MOHAMED Hussein ‘Tshabalala’ ni rasmi sasa atavaa jezi ya kijani na njano msimu ujao baada ya mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga, kumtambulisha.
KUNA yule Mzungu aliyewahi kutuambia 'Tough time never last, but tough people do'. Hakukosea sana. Alimaanisha nyakati ngumu huwa haziishi, lakini watu wagumu wanaisha. Watu ...
MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Slovenia, Benjamin Sesko, 22, inadaiwa amekubali kujiunga na Manchester United na kuikataa ...
INAELEZWA Everton ipo tayari kumsajili mshambuliaji wa Manchester City, Jack Grealish lakini inakumbana na masharti magumu ...
KATIKA kambi ya mazoezi ya Yanga yanayoendelea kwa sasa pale KMC Complex, Dar es Salaam ikijiandaa na msimu mpya wa ...
Results that may be inaccessible to you are currently showing.
Hide inaccessible results