News
Rais Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Nishani ya Heshima ya Juu ya Baraza la Michezo ya Majeshi Duniani (The Grand Cordon) na ...
Mterry alisema kuwa katika mabadiliko hayo ya sheria ya fedha ya mwaka 2025 wananchi hao watapata punguzo la kodi ya ongezeko la thamani kwa kulipa asilimia 16 badala ya 18 na kwamba hiyo inachochea ...
JUBA, SUDAN KUSINI : WIZARA ya Mambo ya Nje ya Sudan Kusini imekanusha ripoti zinazodai kuwa imefanya mazungumzo na Israel ...
SERIKALI ya Brazil imezindua mpango wa kuyaunga mkono makampuni ya ndani yaliyoathiriwa na ushuru wa asilimia 50 uliotangazwa ...
Shakila Mshana, Mwanzilishi Mwenza na Mkurugenzi wa StartHub Africa nchini Tanzania, anasema wamejikita katika kuimarisha ...
Hata hivyo, Trump amesema anasubiri matokeo ya mazungumzo yake na Putin, akionya kuwa huenda kusiwe na kikao kingine kati yao ...
Kwa mujibu wa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo, maeneo hayo yana mchango mkubwa ...
MAKAMU wa Rais Dk Philip Mpango amemwakilisha Rais Dk Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Dharura wa Pamoja wa Wakuu wa ...
JESHI la Polisi limeagiza wananchi wajiepushe na lugha za vitisho, matusi na uchonganishi wakati huu wa mchakato wa Uchaguzi Mkuu. Msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime amesema hayo alipozungumza k ...
CANBERRA, AUSTRALIA : SERIKALI ya Australia imetangaza kuitambua rasmi Palestina kama taifa huru katika Mkutano Mkuu wa Umoja ...
KIGOMA; Kampuni ya DongFang Electric (DEC) imefanikiwa kuchepusha maji ya Mto Malagarasi katika eneo la Igamba, Kijiji cha Mwamila Wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma ili kuanza ujenzi wa tuta la bwawa la ...
SONGWE: MAKANDARASI wanawake wazawa wakabidhiwa mradi wa km 20 ujenzi barabara kiwango cha lami kutoka kata ya Luanda hadi ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results