News

MOHAMED Hussein ‘Tshabalala’ ni rasmi sasa atavaa jezi ya kijani na njano msimu ujao baada ya mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga, kumtambulisha.
KUNA yule Mzungu aliyewahi kutuambia 'Tough time never last, but tough people do'. Hakukosea sana. Alimaanisha nyakati ngumu huwa haziishi, lakini watu wagumu wanaisha. Watu ...