News

KAMATI ya Uchaguzi Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limetoa orodha ya mwisho ya majina ya wagombea 11 waliopenya ...
MUDA mfupi tu baada ya kuondoka WCB Wasafi, Hamonize alijipambanua kama mshindani wa Diamond Platnumz kimuziki, achilia mbali ...
KIUNGO mchezeshaji wa Tottenham Hotspur, James Maddison atakosa sehemu kubwa ya msimu baada ya kupata maumivu makubwa ya goti.
AC Milan imeonyesha nia kubwa ya kumsajili mshambuliaji wa Manchester United na timu ya taifa ya Denmark, Rasmus Hojlund kwa ...
MANCHESTER United italazimika kulipa ada itakayovunja rekodi ya uhamisho kama inataka saini ya kiungo wa Brighton, Carlos ...
Timu ya Simba inatarajia kuhamisha kambi yake huko Misri kutoka mji wa Ismailia kwenda jijini Cairo kutokana na sababu mbalimbali zilizotajwa na benchi la ufundi la timu hiyo.
Simba imepangwa katika nafasi ya tano katika viwango vya ubora wa klabu vya CAF huku mtani wake Yanga ikiwa ya 12.
WANACHAMA na viongozi wa Yanga wameitana jijii Dar es Salaam mwezi ujao kwa lengo la kujadili mambo yao kabla hata msimu mpya wa mashindano wa 2025-2026 haujaanza.
KUNA yule Mzungu aliyewahi kutuambia 'Tough time never last, but tough people do'. Hakukosea sana. Alimaanisha nyakati ngumu huwa haziishi, lakini watu wagumu wanaisha. Watu ...
MOHAMED Hussein ‘Tshabalala’ ni rasmi sasa atavaa jezi ya kijani na njano msimu ujao baada ya mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga, kumtambulisha.
HARAMBEE Stars ya Kenya, imeonyesha kuitaka robo fainali ya michuano ya CHAN 2024 baada ya kulazimisha sare ya bao 1-1 dhidi ...
INTER Milan imefikiria kumsajili winga wa Manchester United na timu ya taifa ya England, Jadon Sancho, mwenye umri wa miaka ...