News

Kati ya pesa zilizokusanywa kiasi cha Sh bilioni 56.3 zilikuwa ni fedha taslimu na zaidi ya Sh bilioni 30.02 zikiwa ni ahadi za michango. Michango hiyo imetokana na wananchi, wanachama na wapenzi wa ...
DAR ES SALAAM — Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, ...
TANGA: HALMASHAURI ya Mji Handeni, mkoani Tanga, imetoa wito kwa wawekezaji kujitokeza kuwekeza katika mradi wa kuchakata ...
SRI LANKA : MAHAKAMA Kuu ya Anuradhapura, Sri Lanka, imemkuta na hatia daktari mwenye umri wa miaka 70 kwa kosa la ...
BOGOTA,COLOMBIA : MGOMBEA Urais wa Colombia, Miguel Uribe, amefariki dunia usiku wa kuamkia Jumanne, miezi miwili baada ya ...
RWANDA : SERIKALI ya Rwanda imetupilia mbali tuhuma za Umoja wa Mataifa kwamba jeshi lake limekuwa likiunga mkono waasi wa ...
DARFUR : WATU 40 wameuawa na wengine 19 kujeruhiwa baada ya wanamgambo wa Kikosi cha Usaidizi wa Haraka (RSF) kushambulia ...
Aidha, Waziri Mkuu ameeleza kuwa Hayati Ndugai alikuwa mlinzi wa taratibu za Bunge na mshirika wa karibu katika kuimarisha ...
MOROGORO; WANAFUNZI wa Shule ya Sekondari Benhubert ya Kivule, Dar es Salaam, wakiwa kwenye Hifadhi ya Taifa ya Mikumi ...
DAR ES SALAAM; CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kitaendesha harambee maalumu kuchangisha fedha kwa ajili ya kusaidia kampeni za chama hicho wenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu.
DAR-ES-SA;AAM : OFISI ya Msajili wa Hazina imeandaa kikao kazi maalum ‘CEO Forum 2025’ kitakachowaleta pamoja Wenyeviti wa ...
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Spika mstaafu wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai alikuwa msaada mkubwa katika utekelezaji wa majukumu yake bungeni. Majaliwa alisema hayo wakati wa ibada ya kuaga ...